USIKIVU USIKWAMISHE NDOTO ZA INJINIA!

Mwanafunzi mwenye kipaji cha uhandisi wa maji anahitaji msaada wako.

"Nina ndoto ya kuwa mhandisi wa maji"

Deogratias, mwaka wa pili – Water Supply and Sanitation Engineering

Deogratias ana kipaji cha uhandisi na anafanya vizuri mitihani yote. Lakini shida ya usikivu inamkwamisha.

“Ninaweza kufanya vizuri, lakini sikivu si sahihi. Ninahitaji msaada wenu nimalize masomo na kuwa mhandisi wa maji.”

Kwa vifaa sahihi, ataweza kusikia vizuri darasani, kufaulu, na kusaidia jamii yake kupata maji safi.

VIFAA VINAVYOHITAJIKA

Hearing Aids za digital
VIFAA VYA KUSIKIA

High-quality digital hearing aids

TZS 2,500,000
Jumla Tunayohitaji
TZS 2,500,000

vifaa + mfumo wa darasa